Diamond na Ali Kiba, Walipokutana kwenye Msiba wa Masogange

0
5

Binadamu tusipo kutanishwa na Sherehe basi matatizo yatatuleta pamoja, na Mara nyingi tukutanapo katika nyakati hizo huwa tunaacha pembeni historian zetu za nyuma, mathalani kama kulikuwa na ugomvi baina yetu.

 Hivi ndivyo ilivyotokea Leo, ilikuwa katika viwanja vya Leaders ambako Watanzania wa kaliba za aina mbalimbali walipokutana kutoa heshima ya mwisho kwa mwili was aliyekuwa Mrembo aliyekuwa anapamba video nyingi za wasanii hapa bongo. 
Miongoni mwa waliokutana ni wasanii Diamond na Ali Kiba.wasanii hawa wakubwa walinaswa na kamera ya SPOTI.TZ wakisalimiana baada ya kuwasili katika viwanja vya Leaders Dar es salaam kuuaga mwili wa Marehemu Agnes Masogange. 
#RIPMasogange.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here