BREAKING: Video Vixen Agnes Masogange amefariki dunia

0
3

Taarifa zilizotufikia muda huu hapa SPOTI TZ na www.spoti.co.tz ni kwamba Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu.

Spoti TZ imefanya mawasiliano na chanzo cha karibu cha marehemu na kuthibitisha kifo chake

Video vixen Bongo, Agnes Gerald maarufu kama ‘Masogange’ amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.Chanzo cha kifo hiko ni baada ya presha kupanda ghafla mpaka kupelekea kulazwa hospitali na kufariki.Kifo chake kimetokea katika hospitali ya Kwa Mama Ngoma iliyopo mwenge jijini Dar es Salaam aliokuwa anapatiwa matibabu.Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu. Endelea Kutufuatilia

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here