BREAKING!!! Kwaheri Arsene Wenger!!

0
5

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameridhia kubwaga manyanga mwishoni mwa msimu huu baada ya majadiliano ya kina na uongozi wa klabu hiyo kongwe duniani.

Arsene Wenger


“Baada ya kutafakari kwa kina kufuatia mazungumzo na klabu yangu, umefika wakati sasa nikae pembeni mwisho wa msimu huu, nina furaha sana kwa muda wote niliokaa hapa klabuni.” Wenger amesema.Kocha huyo amekaa katika nafasi hiyo kwa muda wa takribani miaka 22 akiifundisha Arsenal. Wenger mwenye Umri wa miaka 68, akiwa na Arsenal ameshinda vikombe vya ligi ya Uingereza EPL mara TATU, na Vikombe SABA vya FA, hii ni pamoja na ule ushindi wa mara mbili mfululizo  katika mwaka 1998 na 2002. 

Hayo ndiyo mafanikio anayowaachia washika bunduki hao wa Uingereza

“Ninawashukuru wafanyakazi wenzangu, wachezaji, wakurugenzi na mashabiki kwa kuifanya klabu hii kuwa spesho, nimeitumikia kwa miaka mingi” amesema Wenger kwenye taarifa yake rasmi leo Ijumaa. Arsenal kwasasa wanashikilia nafasi ya 

LONDON, England.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here