Arsenal Kukutana Na Man United Pata Shika Nguo Kuchanika.

0
1

Ligi kuu ya soka ya England
inaendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaa,kesho jumamosi michezo
saba inatarajiwa kuchezwa ambapo Liverpool wanacheza na Stoke
city,Burnley dhidi ya Brighton,Crystal Palace ni mwenyeji wa Leceister
City.

Huddersfield dhidi ya Everton,Newcastlle United wanachuana
na West Bromwich Albion,Southampton na FC Bournemouth na Swansea city ni
wenyeji wa Chelsea.
Idhaa ya Kiswahili ya bbc itakutangazia mchezo kati ya Crystal Palace Leicester kupitia matangazo ya Uimwengu wa soka.
Jumapili West Ham united watawakaribisha Manchester City na Manchester United ni wenyeji wa Arsenal .
Chanzo:BBC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here