VIDEO: Utani wa Mwalubadu kwa kocha Mayanga baada ya kipigo cha 4-1

0
7

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars usiku wa jana March 22 ilicheza game ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Algeria mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa magoli 4-1, baada ya kipigo stori zilianza kuenea katika mitaani kuwa kocha amekina kikosi.

Katika mchezo huo wa Taifa Stars waliyofungwa magoli 4-1, goli la pili la Algerialilipatikana kwa Shomari Kapombe kujifunga, mchekeshaji Mwalubadu ameandaa kitu chake kwa kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga kuwa mbona alisahau kumwambiaYondani amkabe Kapombe hadi anapiga free header na kuifunga Taifa Stars.


Chanzo: Milardayo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here