(Video) Tazama Simba Wakifanya Mazoezi Kuiwinda Njombe Mji Fc

0
11

Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi jioni ya leo katika Uwanja wa Bocco Vetarani jijini Dar es Salaam.
Simba inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe, mchezo utachezwa mjini Njombe, April 3 2018.Tazamaa video ya mazoezi hayo hapa   

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here