Video: jamaa inaesemekana ni bwana mpya wa wema aongea cheki video

0
8
Hivi Karibuni zilisambaa picha na Video zianzomuonesha muigizaji Wema Sepetu akiwa na mwanaume mwingine amabaye alidaiwa kuwa ndo mpenzi wake mpya kutokana na wawili hao kuonekana wakiwa pamoja sasa Ayo Tv imempata na kuzungumza naye.
Mwanaume huyo ambaye jina lake maarufu mtandaoni ni Rahul amesema kwamba yeye na Wema ni washikaji wakawaida anashangaa maneno yanapotoka kwani amemjua Wema sasa ni miaka 7 lakini hawana uhusiano wa kimapenzi na isitoshe kaongezea kwa kusema Wema ana mapenzi ya dhati kwa watu wake.
Source:Millardayom
Imeletwa na: agape patrick
Email: agape@spoti.co.tz
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikilizaAKIZUNGUMZA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here