Umemsikia Masoud Djuma? Eti Tz Hakuna Namba Sita Kama.

0
9

OHOOO UMESIKIAAA HIIIIIIIII!!!!
Kocha mnyarwanda na msaidizi wa vinara wa ligi kuu Masoud Djuma yeye binafsi anakuambia
 “Hakuna namba 6 kama Jonas Mkude nchini Tanzania”
Kocha huyu amejizolea umaarufu mkubwa hapa nchini TZ kwa mbwembwe na style zake za ushangiliaji na mizuka pindi timu inapokuwa uwanjani huwa anakua na mizuka ya ajabu sana kwa kushindwa kutulia
Kupitia mbwembwe na vituko vyake mashabiki nao si haba wakaona wambatize jina la DIEGO SIMEONE wa bongo kwan mbwembwe za uwanjani ni kama wanaendana
Diego simeone ni kocha wa klabu ya atletico madrid inayoshiriki ligi kuu spain maarufu kama La liga
Imeandaliwa na Agape Patrick / barua pepe : agape@spoti.co.tz
Usisahau kushare habari hii na stori zote za web yetu ?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here