Ukisikia Conte Out!! Basi Jua Huyu Ana Asilimia 90% Kuingia Unataka Kumjua? !!!

0
2

Unataka kumjua mtu huyu basiii!!

Ondoa shaka ukisikia tuu CONTE out basii Mauricio Sarri IN
Kocha huyu anayeinoa klabu ya NAPOLI Seria A italy ni ana90% kutua  pale darajani CHELSEA
Hizo ndio tetesi zilizotawala kwenye vichwa vya mashabiki wa chelsea wa sasa kutokana na mwenendo mbaya wa team yao hiyoo

Hata ivyooo!!!
Inasemekana kocha huyo ndioo kwaaaanza anataka kusign mkataba mpya NAPOLI na akili yake kwa sasa ni kuipa ubingwa wa Seria A klabu ya NAPOLI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here