Tanzania Imefeli Wapi?

0
2
Mpango mzuri wa kocha wa star haujazaa matundu na baada ya kulipa kisasi kama kocha msaidizi wa Tanzania alivyosema na kujikuta wakilala 4 – 1 mbele ya mbweha hao wa jangwa .

Ukiachana na uwezo wa Algeria kuwa mkubwa kuliko ule wa stars lakina stars alikuwa na mpango wa kushinda lakini yalishindikana kutokana na sababu ifuatazo;
1.       Makosa  ya mabeki wa kati wa Tanzania 
Baada ya himid mao kuupoteza mpira katika
eneo la katikati na mahrez kufanya assits
nzuri mpira unaopita katikati ya mabegi wa
wili wa stars banda pamoja na yondani na
pia Bounedjah kupita katikati yao ni dhahili
ya kuwa hakuna mawasiliana mazuri kwa
hao walinzi wakatikati wa taifa.
 
 Pia goli analojifunga kapombe la pili kitaaram sie kapombe mwenye makosa ni makossa ya mabeki wa katikati ambao walikuwa wote wawili free na kushinwa kummark mchezaji mmoja tu wa Algeria aliekuwa kwenye box matokea yake kapombe anatokea nyumba ya mshambuliaji na kujiweka kambani.
2.       Ugeni wa golikipi katika timu
Aishi manula anababilishwa kwenye kikosi mda mchacha kabla ya mechi kuanza na nafasi yake inachukuliwa na Mohamed ambaye sie msemaji sana kama alivyo aishii akiwa kwenye milingoti yake mitatu na kusindwa kuwapo majukumu ipasavyo mabeki wake kwa sababu yeye ndie mligi a mwisho.
3.       Majukumu huru ya Mahrez
Hakuwa na sehemu maalumu anayocheza akiwa uanza na hivyo kuwa na majukumu huru na majukumu hayo hupewa mcheaji mwenye uwezo wa ubunifu mkubwa uwanjani na mwenyew uwezo wa kuanzisha mashamburizi kwa Algeria jana majukumu haya alikuwa nayo mahrez na kuyatumia ipashavyo.
4.        Eneo la kiungo
Chakushangaza Zaidi ni katika eneo la kiungo ambapo Tanzania ilikuwa na wachezaji wa 5 , wa 3 wakiwa katikati ndemla, mdathiri na himidi wote wa tatu kwa ujumla wao wanashindwa kukaa na mpira walau hata kwa dakika moja tu timu icheza wakipewa usaidizi na viungo wao wa pembeni msuva pamoja nae kichuuya na kufanya Bentaleb kuonekana akicheza mpira yeye pekeake mda mwingi wa dk alizokuwepo uanzani kabla ya kufanyiwa mabadiliko.
Pongezi zangu za dhati kwa tff kutafuta match zenye tija kwa taifa na kujifunza kutokana na makosa kuriko kuendelea kucheza na Burundi kila siku na kupata matokea.
COME OOOON STARZ AGAINST CONGO
Humphrey mlimbila
mlimbilah@gmail.com

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here