Ronaldo Azidi Kutisha Laliga.

0
8
Staa wa Real Madri, Cristiano Ronaldo ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni bora katika suala la kucheka na nyavu, hiyo ni baada ya kufunga hat-trick yake ya 50 katika maisha yake ya soka.
Ronaldo amefunga mabao manne katika ushindi wa mabao 6-3 ambao timu yake imepata dhidi ya Girona katika La Liga, jana usiku kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.
Kwa idadi hiyo, Ronaldo amefikisha mabao 21 tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2018.
Kwa sasa amefikisha mabao 22 katika La Liga msimu huu ambapo anashika nafasi ya pili kw akufunga nyuma ya Lionel Messi ambaye ana mabao 25 huku Luis Suarez wa Barcelona akiwa w atatu kwa kuwa na mabao 21. 
Wafungaji wa La Liga
Lionel Messi Barcelona 25
Cristiano Ronaldo Real Madrid 22
Luis Suárez Barcelona 21
Cristhian Stuani Girona 17
Antoine Griezmann Atlético Madrid 17
Iago Aspas Celta Vigo 16
Maxi Gómez Celta Vigo 13
Wakali wa asisti 
Lionel Messi Barcelona 12
Pione Sisto Celta Vigo 9
Jordi Alba Barcelona 8
Fornals Villarreal 8
Antoine Griezmann Atlético Madrid  8
José Ángel Eibar 7
Na Mwanahabari wetu: Richard Shiyo Barua pepe richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here