RONALDO ALIVYO TAYARI KUICHEZEA URENO DHIDI YA UHOLANZI LEO

0
3

Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akijinyoosha kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa jana kujiandaa na mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Uholanzi Uwanja wa Geneva nchini Uswisi baada ya Ijumaa kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za mwisho timu yake ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Misri.
 
BY richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here