Msimamo wa Liverpool kwa Mohammed Salah

0
9
Liverpool imesema kuwa haitamuuza mshambuliaji wake Mohamed Salah, 25, mwisho wa msimu huu na kwamba mchezaji huyo katika mkataba wake hakuna kipengele cha thamani ya mkataba kinacho mruhusu kuondoka katika klabu hiyo (buy out clause).
Credit:Shaibu Raphael
Kwa kuongeza tuu ni kuwa alikua akiviziwa na madrid ili akacheze pale Santiago Bernabeu kutokana na mwenendo mbovu wa team hiyo ya madrid inayoshiriki ligi kuu SPAIN
agapepatrick1@gmail.com

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here