Mkude ameumia mazoezini leo jioni.

0
5

Kiungo Jonas Mkude aumia kifundo cha mguu wa kulia (Ankle) akiwa mazoezini leo.

Spoti TZ imeongea na Daktari wa kikosi cha Simba Yassin Gembe kuhusianana na majeraha hayo aliyoyapata Mkude ambapo alisema ‘Mkude ameumia kwenye kifundo cha mguu wa kulia, kwa vipimo vya awali sio majeraha makubwa sana, ila kesho ndio tutatoa taarifa kamili kuhusianana na hali yake kwa ujumla ila kwa sasa napenda kusema anaendelea vizuri kutoka katika matibabu ya awali tuliyompatia’

Source: Simba Sc Facebook
Imeletwa na: agape patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here