MESSI ANAONEKANA YUKO FITI KUIVAA HISPANIA KESHO MADRID

0
3

Mshambuliaji Lionel Messi akikimbia kwenye mazoezini ya timu yake ya taifa, Argentina jana mjini Madrid ikijiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Hispania kesho Uwanja wa Wanda Metropolitano baada ya kukosekana kwenye mechi na Italia wakishinda 2-0 Ijumaa Uwanja wa Etihad kiutokana na maumivu ya nyama za paja.
 
by richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here