Je? Unataka kujua kilichoongelewa leo katika MKUTANO WA YANGA SC majeruhi ya NGOMA na wachezaji wataokosa mechi ijayo Kimataifa

0
4

Naaaam!!!!
Leo siku ya tarehe 20 march 2018 klabu ya yanga ilikua na mkutano na waandishi wa habari na machache yaliongelewaa Nitakuletea machache yaliyoongelewa katika mkutano wa YANGA LEO uliokuwa ukiongozwa na Afisa habari wa Yanga DISMASS TEN kwanza Dismass ten alichukua muda kuwashukuru mashabiki kwa support waliyotoa kuishangilia yanga katika mashindano ya klabu bingwa Na alichukua nafasi kuwataka radhi kwa  kushindwa kufuzu hatua ya makundi na kupeleke kushushwa adi shirikisho Aliwaahidi katika mechi zijazo za kimataifa watahakikisha wanatumia vizuri uwanja wa nyumbani kwani sababu moja ya kutolewa ni kuruhusu magoli uwanja wa nyumbani na kushindwa kuutumia kwani nyumbani YANGA walifungwa bao 2 kwa 1 Aliendelea DISMASS TEN kwa kuwataja baadhi ya wachezaji wataokosa mechi ijayo ya mkondo wa kwanza  kimataifa huku sababu ikiwa ni kadi za njano walizopewa katika mechi ya mwisho pale BOTSWANA kwa idadi wachezaji hao wapo watatu nao nii OBREY CHOLLA CHIRWA
SAIDI JUMA MAKAPU
PAPY KABAMBA TSHISHIMBI Hawa ndio wataokosa mechi ya mkondo wa kwanza kombe la ShirikishoPia alizungumzia majeruhi ya DONALD DOMBO NGOMA
Anasema taarifa ya daktari ni kwamba Ngoma yupo fit kwa kuanza mazoezi na kwa kua sasa wachezaji wamepewa likizo hadi jumatano basi NGOMA atajumuika na wenzake kuanza mazoezi Mambo ndivyo yalivyo na yanavyoendelea pale maeneo ya jangwani usisahau kushare habari za www.spoti.co.tz kadri uwezavyo      Imeandikwa na AgapePatrick
FB:Patrick Perfect
IG: agape_033

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here