Ijue historia fupi na tamu juu ya wapinzani wa yanga kunako kombe la shirikisho wanatokea ETHIOPIA

0
10

YANGA SC VS WELAYTA DICHA FC KUMBUKUMBU
  Welayta dicha ndio mpinzani wa yanga ambae watakutana nae katika raundi ya kwanza kunako kombe la shirikisho tarehe 7 April 2018

Naam! Naam twende kwenye mada ni fupi na ni nzuri

Mwaka 1998, Yanga ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwatoa Coffee United ya Ethiopia.

Coffee United walifika hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Ahly ya Misri.

Mwaka huu, Yanga wamepangwa na Welayta Dicha F.C. ya Ethiopia ambayo imetoka kuitoa Zamalek ambao ni wapinzani wakuu wa Al Ahly.

NOTE: Welayta Dicha FC inashika nafasi ya 8 huku ikiwa na point 19 na mechi 2 mkononi kwa TANZANIA tunaita viporo

Imeandikwa na Agape Patrick
        Barua pepe:

agapepatrick1@gmail.com

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here