ELININO…..

0
7

Ilikuwa mwaka 1984 tarehe kama ya jana katika mji wa madrid anazaliwa FERDNADO TORRES born to score ndivyo was spain wanavyoamini hivyo na kumwita ELININO kwa maana ya mtoto.
Maisha yake ya score yalianzia katika timu ya Atlitico Madrid akiwa nahodha na kucheza na kocha wake wa sasa Diego simion .

Mwaka 2007 anaondoka madrid na kutimkia anflied hadi mwaka 2011 kabla ya kuwahama majogoo hawo wa jiji akiwa na kiwango bora kabisa na kwenda landon kwenye daraja la Chelsea ambapo hakuwa na kiwango bora sana lakini alifanikiwa kunyanyua champions league mwaka 2012 wakiwato barca kwa goli lake comp nou na fainali kuifunga bayen munich katika dimba lao la nyumbani kwa mikwaju ya penati.

Mwaka uliofuata haukuwa mzuri kwa Chelsea na kutupwa nje ya masindano hayo katika hatuo ya makundi na kwenda Europa league ambapo alilibeba pia mwaka 2013 na torres akiwa kwenye kikosi icho.

Akionekana kwenye michezo 212 ligi kuu ya uingereza na kufunga magorii 85 tu.

Mwaka 2015 anatolewa kwa mkwopo AC milan pia anaondoka kwenda club yake ya utotoni kwa mkopo kabla yam waka 2016 wana madrid hao kuamua kumrudisha nyumbani nahodha wao wa zamani na kukutana na mchezaji mwenzie wa zamani akiwa kocha wake.

Maisha ya torres pia katika nation timu yamekuwa ya mafanikio akiwepo kwenye kikosi kilichoshinda world cup south Africa mwaka 2010 licha ya kutokuwepo kwene kikosi cha kwanza na mara nyingi nafasi ivyo ilichenzo na David Villa aliekuwa barca kwa wakati ule.

HAPPY BIRTHDAY “THE KID”.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here