Cheki Orodha Kamili Ya Wachezaji Wa Congo Waliowasili Nchini Jana

0
3

Kikosi cha Congo kimewasili nchini leo kikiwa na nyota kibao wanaocheza soka barani Ulaya, orodha kamili hii hapa.

Kikosi kamili cha DRC kilichowasili leo

Makipa; Parfait Mandanda (Charleroi, Ufaransa), Joel Kiassumbua (Lugano, Italia) na Matampi Ley.

Mabeki; Issama Mpeko (TP Mazembe), Ikoko Jordan (EAG, Ufaransa), Nsakala Fabrice (Alayanspor, Uturuki), Ngonda Glody (AS Vita), Masuaka Arthur (West Ham, England), Chancel Mbemba (Newcastle United, England), Moke Will (Konyaspor, Uturuki), Bangala Yannick ( AS Vita), Luyindama Christian (Standard, Ubelgiji), Mulumbu Youssouf (Kilmanock, Scotland) na Lema Mabidi (Raja Casablanca, Morrocco).

Viungo; Kebano Neeskens (Fulham, England), Giannelli Imbula (Toulouse, Ufaransa), Maghoma Jacques (Birmingham, England ) na Kakuta Gael (Amiens, Ufaransa).

Washambuliaji; Balasie Yannick (Everton, England), Kabananga Junior (Al Nassr, Saudi Arabia), Mubele Fiemin (Toulouse, Ufaransa ), Paul Jose Mpaku (Standard Liege, Ubelgiji), Cedric Bakambu (Beijing, China), Afobe Benik (Wolves, England ) Assombalonga Britt (Middlesbrough, England) na Thibola Aaron (Kilmanock, Scotland ).
==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here