Aubameyang Amesafirisha Gari Zote Hizi London

0
7

Nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameposti picha hii ya magari yake ya kifahari yenye jumla ya Pauni 850,000 ambayo alikuwa ameyapaki nje ya hoteli ya kifahari ambayo mchezaji huyo anaishi. Gari hizo ni pamoja na Lamborghini Aventador yenye thamani ya Pauni 270,000, lakini pia Aubameyang ana Porsche, Ferrari na Range Rover katika gari hizo. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Gabon ana gari nyingine kibao za kifahari ambazo bado hajazihamishia England ambako katika mechi sita alizoichezea Arsenal tangu ajiunge nayo Januari ameifungia mabao matatu
TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA CHINI

Source:BinZubeiry
Na Mwanahabari wetu: Richard Shiyo Barua pepe richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here