Antoine Griezmann atamani kucheza na Poul Pogba

0
6

Antoine Griezmann kakubali kwamba anapenda kucheza karibu na mtaifa mmoja mwenzie Poul Pogba kila siku . lakini aliendelea kusema aimaanisha kwamba nataka kwenda Manchester united.

Star huyo wa Atletico Madrid  alikuwa akiongea na Pogba kwenye international break na Pogba akisema ” kama tungekuwa nacho hiki kila siku…”

Griezmann akajibu ” hiyo itakuwa nzuri kucheza karibu yako na kushinda vikombe . lakini kuwa makini !! cjamaanisha nataka kwende Manchester united.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anasema hakuweza kujiunga na mashetani hawo wekundu majira yaliopeta kwa sababu alikuwa amesha saini mkataba na Madrid wenye thamani ya euro 100m.Kwenye ligi kuu ya Spain msimu huu mbaka sasa kahusika kwenye jumla magoli 25 ya timu hiyo akishinda mabao 17 na kusaidia magoli 8 akiwa amecheza jumla ya michezo 26 na kuisaidia timu yake kuwa na jumla ya alama 64 nyuma na Barcelone ambaye anaongoza ligi hiyo kwa jumla ya alama 75.

Akitokea Real Sociedad mwaka 2014 na kujiunga na wana madrid hao huku msimu 2013/2014 anamaliza akiwa na jumla ya magoli 16 na kuisaidia timu yake kushinda Spanish Super Cup. mwaka huo huo ndio alipoanza kuonekana kwenye timu ya taifa ya ufaransa richa ya kuwa alishawai kushinda  European under – 19 champion mwaka 2010.

Hadi kufika mchezo na Colombia ambao France anapoteza kwenye ardhi wake ya nyumbani kwa bao 2-3 Griezmann anatimiza mchezo wake wa 50 akiwa amefuka jumla ya mabao 19 katika taifa lake.

humphrey mlimbila
mlimbilah@gmail.com 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here