SIMBA NA YANGA DESEMBA 11 LIGI KUU

1 week ago 45


WATANI wa jadi, Simba na Yanga watakutana Desemba 11 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa ratiba ya h Kuu msimu wa 2021-2022 iliyotolewa leo, mechi ya kwanza kabisa ya msimu itachezwa Septemba 27 baina ya Mtibwa Sugar na Mbeya City Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.