About

Katika kuhakikisha dhima ya kukuza soka la bongo katika sekta ya habari, website hii ni mahususi katika kuhakikisha wapenzi wa soka nchini wanakuwa sehemu muhimu ya soka la Tanzania kwa kupata habari mbali mbali za michezo.

https://spoti.co.tz imeanzishwa rasmi mwaka 2018 kwa lengo la kuhakikisha inakuwa chachu ya mabadiliko katika mchezo wa mpira wa miguu hapa