MAKALA MPYA

Mbao yaizimisha Toto

Na Daud Magesa, Mwanza MBAO FC jana iliwaduwaza mashabiki wa Toto Africans, baada ya kuichapa kwa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Uwanja...

Mourinho Kweli Jembe na ana msimamo usiyoyumba, kwani ameamua kumwambia neno moja tu Pogba,...

MANCHESTER, England BOSI wa Manchester United, Jose Mourinho amempasha wazi Paul Pogba kuachana na maneno mengi yanayosemwa juu yake na kutotazama kiasi kilichotumika kununuliwa, bali...

Arsenal inakulaga tu

LONDON, Egland ARSENAL imeendelea kufanya kweli baada ya jana jioni kuichapa Hull City kwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa ndani ya...

Kim nini tena kwa Kanye West?

LOS ANGELES, Marekani KAMA ni mkware unaweza kuomba ardhi ipasuke na ujifukie, kutokana na kile ambacho Kim Kardashian alikifanya mbele ya Kanye West. Mwanadada huyo, aliamua...

TOA MAJIBU MUAFAKA KWA VIKWAZO VYA MWANAMKE

JUMAPILI, SEPTEMBER 18-21, 2016 USHAURI: 0719 222 436 KAMA ambavyo wanaume wazoefu hufahamu kutokana na uzoefu wao, wanawake walio wengi hutoka na kwenda baa au kokote wakiwa wamejiandaa...

Kazingumbe: Tutamuenzi Nyerere

Na Heriard Mwallow SHIRIKISHO la Michezo ya Jadi nchini (SHIMIJATA) limeandaa mashindani maalum yatakayofanyika kesho kwa ajili ya siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba...

Shamsa Ford: Ndoa raha tupu

MWANADADA mkali wa Filamu, Shamsa Ford amekiri kupata raha ndani ya ndoa kwa sasa,  kwani amejikuta ana furaha isiyo na kifani. Mwigizaji huyo miezi miwili...

Sasha huyu ni noma aiseee!

BOSTON, Marekani MWANAMKE mbabe katika mieleka Charlotte amemnanga Sasha Banks na kusema, pamoja na kumchapa atakuja kumfanyia kweli. Charlotte amesema, ana uhakika mkubwa katika pambano lao...

John Cena: Wote takataka

LOS ANGELES, Marekani MBABE wa mieleka ndsni ya WWE, John Cena ambaye anaendelea kuwapa kichapo wenzake, amesema, kila inapofika usiku ndipo anapojiaminisha yeye ni bora...

Lord Eyez ajilipua

MMOJA kati ya wasanii wanaounda kundi la Weusi, Lord Eyez ameamua kujilipua na kudai kuna baadhi yao wanaminywa na wenzao ndani ya kundi hilo. Weusi...